Hata Hivyo Kama Utapenda Kugundua Fursa Mpya Ya Kutengeneza Pesa Zaidi Kwa Mda Wako wa Ziada Bila Kuathiri Biashara, Kazi au chochote unachofanya kwa Sasa Hivi Ndivyo....
Kwa Biashara Hii Mpya Mtu Yeyote Mwenye Mtaji Mdogo, Asiye Na Uzoefu wala Ujuzi Wowote Wa Kutengeneza Pesa Mtandaoni (ONLINE) Kwa Kuuza Taarifa, Ujuzi, Bidhaa na Utaalamu Anaweza Akaifanya
Hata Kama Huna Ujuzi Au Utaalamu wa Kuwafanya Watu wakulipe Pesa Utajifunza na Kupewa Mafundisho Maalumu
Hivyo Endelea Kusoma Utaenda Kujua Kila Kitu Ndani Ya Mda Mfupi Ujao...
Utaweza Kutengeneza Pesa Kwa Mda Wako Tu Wa Ziada Bila Kuathiri Unachofanya Kwa Kutumia Tu Mitandao ya Kijamii
Hata Kama Wewe ni.............
⚙️⚙️Mfanyabiashara
⚙️⚙️Mjasiriamali
⚙️⚙️Mwanachuo
⚙️⚙️Mwajiriwa
⚙️⚙️Freelancer
⚙️⚙️Muhitimu
Au Mtu Yeyote Anaetafuta Ajira Ama Kuongeza Kipato cha Ziada Haijalishi Umesoma Au Haujasoma.
Itakushangaza Jinsi Ilivyokuwa RAHISI Kutengeneza Pesa Kupitia Mitandao Ya Kijamii (Social Platform) Kwa Kuuza Bidhaa, Ujuzi taarifa na Utaalamu Ndani ya Mda Mfupi.
Ili uelewe zaidi kuhusu hii Biashara basiTazama hii video mwanzo hadi mwisho ili uelewe Kabla Hujaendelea Kusoma Zaidi.
Najua Hadi Sasa UtakuwaUNAJIULIZA
Je Kupitia hii Biashara Naweza Nikawa Napata Pesa Kweli na Nikabadilisha Maisha Yangu,Basi Wasikilize Vijana Wenzangu Ninaofanya Nao Kazi





Jina Langu Ni Philipo Samwel Jackson Ngassa Naishi Dar es Salam Victoria Makumbusho.
Mwaka 2022 Ndio Ilikuwa Mara Yangu Ya Kwanza Kufika Dar es salam Kwa Ajiri Ya Masomo Ya Chuo Kikuu Katika Chuo Cha Usafirishaji (NIT)
Niliingia Dar es Salam Nikiwa na Furaha Sana Kama Ambavyo Ni Ndoto ya kwa Kijana Yoyote Anaetoka Mkoani Kufika Dar es Salam
Nianza Maisha ya Chuo Nikiwa Na Furaha Sana Na Nashukuru Mungu Nilipata Hela ya Malazi na kujikimu (Meals and Accommodation) BOOM serikalini
Kipindi Nafika Nilikuwa naamini Kabisa Hii Hela Itanitosha Kabisa kwa Matumizi Yangu na Nitakuwa Naweka Akiba Na Kuanza Kufanya Biashara
Kwani Kipindi Sijafika chuo Nilikuwa naambiwa Hela Ya BOOM Unaweza Hata Ukajengea Kabisaa😳
Ghafla Mambo Yalibadilika Kabisaa Baada Tu Ya Kuanza Kupokea BOOM la Kwanza, Hela Ilikuwa Haitoshi Kabisa Kulitu Ambacho Kilinipelekea Kuingia Kwenye MADENI
Just Imagine Unapokea 500,000Tsh Ambayo Unatakiwa Uitumie Miezi Miwili. Unalipia Kodi Ya Nyumba Miezi Sita 300,000Tsh Unabakiwa na 200,000
Hapo Bado Hujanunua Chochote Kile Cha Kuweka Ndani, Inshort Maisha Yakawa Magumu
Nikaanza Kukopa Yaani Bado Sijapata Hata Boom La Pili Nilikuwa Nimelitumia Asilkimia 70 Na Nikilipata Nalitumia Kulipa Maden Tu,
Nilipoteza Furaha Kabisa Na Kuwa Na Msongo Wa Mawazo kitu Ambacho Kilinifanya Kuanza Kupoteza Kabisa Ufanisi Hadi kwenye Masomo Yangu
To Make A Story Short Nikaanza Kutafuta Njia Mbalimbali Za Kutafuta Kipato cha Ziada, Nilianza Kubeti lakini Hamna Nilichoambukia Zaidi ya kuendelea Kupoteza pesa
Nikaanza Udalali Wa Wa Nguo Pamoja Na Simu Lakin Bado Maisha Yakawa Magumu Tu kwani Nilikuwa Siwezi Kutengeneza Hata Elf 50 kwa Mwezi
Sikuishia Hapo Nikaanza Kutafuta kazi kwenye Viwandana Kwenye Makampuni Tofautitofauti Lakini Sikufanikiwa Kupata Kabisaa
Siku Moja Nikiwa Nikiwa nimekaa Ndani Nawaza Juu Ya haya Maisha magumu Yataendelea Hadi Lini Na Nimechoka Kuyaishi.
Ghafla Simu Iliita Na Akiekuwa Ananipigia Ni Jirani Yangu Tumosoma Nae Chuo Japo Sikuwa na Mazoea Wala Ukaribu Nae
Aliniambia Kitu Kimoja Tu, Jackson Naelewa Wewe Ni Mtu Unaejitafuta na Unafanya Vitu Vingi Ili Kuendesha Maisha Yako Hongera sana
Kesho Tunafanya Semina Ya Vijana Wajasiliamali So Ningependa Ufike Ujifunze Zaidi Na Uzidi Kuongeza Thamani Zaidi hata kwa Hicho unachofanya.
Maswali Yalikuwa Mengi Kwani Nilipomuuliza Anipe Taarifa Zaidi Hakuniambia, Nikaanza Kuwaza Kimoyomoyo Huu Sio UTAPELI KWELI
Basi, Kwa Vile Alikuwa ni Mdada na Ni Jirani yangu na Tunasoma Chuo Kimoja Nikaon Isiwe Tabu Siku Unayofata Niliamua Kwenda Kusikiliza. NDIO huyu hapa chini kwa sasa amekuwa kama Destine helper wangu

Bytheway Kitu Ambacho Nilichokutana Nacho Huko Kilifufua ndoto zangu upya na Kilinipa Imani Ya Kuwa Na Mimi Naweza Kufikia Malengo Na Mipango Yangu
Kwani Nilikutana na Vijana Wengi Sana Amabo Wamepiga Hatua Kubwa kwenye Umri Mdogo Na Ilinioa Hamasa Zaidi na Mimi Ya Kufufua Upya malengo Yangu
Baada Ya Seminar Nilijitamkia maneno Nikasema, Haya Maisha Ninayoishi Sasa Siyo Yangu Lazima Nibadilike
Kama Wapo Waliofanikiwa na Nimeona Vijana wengi Wanatimiza Malengo Na Ndoto Zao Hata Kwangu Inawezekanaa
Basi Siku Iliyofata Neno Langu Lilikuwa Moja Tu Nilimtafuta Huyu mdada Na Kumwambia Nafanyaje Na Mimi Niweze Kutengeneza Pesa Kama Ambavyo wewe Unafanya
Alianza Kunifundisha Na Baada Ya Siku Tatu Tu Nikaanza Kufanya Nae Kazi, Sikuwa Na Ujuzi Sana Lakini Alinishika Mkono Na Kunisaidia Kwenye Kila Hatua.
Na Baada Ya Siku Chache na Mimi Nikaanza Kutengeneza Kwa Kuanza Kupokea Miamala,
kitu ambacho Kilizidi Kunipa Hamasa Sana Ya KuendeleaKufanyia Kazi Malengo na Mipango Yangu
Unaweza Usiamini Lakini Hivi Ndio Miamala Ambayo Nilianza Kuipokea siku chache tu Baada Ya Kukubali Kijifunza Na Kuanza Kufanya Kazi Tena Kwa Mda Wangu Tu Wa Ziada Angalia Hapa Chini







Hivyo Kama Wewe Unatafuta Namna Ya Kutengeneza Pesa Kwa Mda Wako Tu Wa Ziada Bila Kuathiri Unachofanya Hii ni Nafasi Kwako
Popote Pale Ulipo Utaweza Kutengeneza Pesa Bila Kuathiri Unachofanya Kwa Sasa
Na Kila Mwezi Huwa Nachukua Watu 10 Tu Wakufanya Nao Kazi kwa Ukaribu Zaidi, Na Huna Cha Kupoteza kwani Utaanza Biashara Kwa Mtaji Mdogo
Huku Nikiwa Nakujengea Uwezo Wa Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kuweza Kutengeneza Pesa Zaidii
Pia Utapata Free Mentorship And Coaching Kutoka Kwa Top Leader na Mentor Wangu
Yeye Ameshapata Mafanikio Makubwa Hivyo ni Njia Rahisi Ya Kukuelekeza Wewe Kuepuka Makosa Madogomadogo na Upige hatua Kwa Haraka Zaidii
Hivyo hivi ni vichache tu katika Biashara yetu kama UMEPENDA Na kuwa Interested kufanya kazi na sisi Sasa bofya Hapo Chini 👇 Ili Kupata Utaratibu Wa Jinsi gani utaanza kufanya biashara na sisi kwa MTAJI kidogo
OUR MOTTO
We Stand Out And Being Excellent In Our Field
OUR WHY
To Support And Inspired Youth To Do Things That Inspired Them so That Together Each Of Us Can Change Life For The Better
OUR VISION
To Maximize Youth Potential And Supporting To Build Profitable Business
OUR MISSION
To Build A Skilled Retailer, Recruiters Experts And Maximizing Social Networks Platform For Business
OUR VALUES
Purpose, Despline, Confident, Consistent, Work hard, Focus Trust The Process, And Adapt An Infinity Mindset.
No Matter How Smart Are you, If You Don't Know To Work With People You Dream Will Just Be Dreams jackMAs
