Jifunze Mbinu za Kitaalamu za Kuongeza Kipato Kupitia Mitandao ya Kijamii
Hatua kwa Hatua.
Hii ni barua maalum kwa mtu ambaye anataka:
Ø Kutengeneza kipato cha ziada bila kuacha kazi yake ya sasa
Ø Kujifunza kutumia Facebook, Instagram, na TikTok kupata wateja
Ø Kupata kipato cha kati ya 500,000 Tsh hadi 1,000,000 Tsh kwa mwezi
Ø Kuanzisha biashara ya mtandaoni hata kama hana bidhaa au Ujuzi wowote, Utafundihwa
Ø Kufanya kazi kwa muda wake mwenyewe na mahali popote alipo
Najua Hadi Sasa Unajiuliza, Nawezaje???
Okay Usajali Ndani Ya Dkk 3 Tu Undaenda Kufahamu,
Hizi Siri za jinsi Online Business inavyobadilisha Maisha ya watu nilikuwa Nimeamua Zibaki Kuwa Siri,
Lakini Baada ya kuwasaidia zaidi ya wanafunzi 100+, nimeamua kuzitoa wazi leo.
Kumbuka: Fursa hii haitaji uwe na followers wengi, haitaji uwe na ofisi kubwa, na wala sio lazima uwe na website.
Unachohitaji ni Simu Yenye Intaneti na Uelekeo sahihi.
Hivyo Mtu yeyote Mwenye Mtaji Mdogo, Asiye na Uzoefu wala Ujuzi wa Kutengeneza pesa Mtandaoni kwa Kuuza Taarifa, Ujuzi, Bidhaa na Utaalamu Anaweza Kufanya.
Hata kama Huna Bidhaa, Ujuzi au Utaalam kwa Kuwafanya Watu wakulipe pesa Utajifunza Na Kupewa Mafundisho.
Hivyo Endelea Kusoma Ndani Ya Mda Mfupi Ujao Utaenda Kufahamu Kila Kitu
Na Utaweza Kutengeneza Pesa Bila Kuathiri Unachofanya kwa kutumia Tu Mitandao ya Kijamii
Hata kama Wewe ni Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Mwanachuo, Muhitumu
Au Mtu Yeyote Yule Unaetafuata Ajira Ama Kuongeza Kipato cha Ziada Haijalishi Umesoma Au Haujasoma
Itashangazwa na Namna Ilivyokuwa Rahisi Kutumia Mitandao ya kijami Kutengeneza Pesa.
Najua Hadi Sasa Utakuwa UNAJIULIZA
Je Kupitia Mitandao Ya Kijamii naweza Nikawa Napata Pesa Kweli na Nikabadikisha Maisha Yangu?
Basi Usinisikilize Mimi, Wasikilize Vijana Wenzangu Ninaofanya Nao Kazi





Jina Langu Ni Philipo Samwel Jackson Ngassa Naishi Dar es Salam Victoria Makumbusho.
Mwaka 2022 Ndio Ilikuwa Mara Yangu Ya Kwanza Kufika Dar es salam Kwa Ajiri Ya Masomo Ya Chuo Kikuu Katika Chuo Cha Usafirishaji (NIT)
Niliingia Dar es Salam Nikiwa na Furaha Sana Kama Ambavyo Ni Ndoto ya kwa Kijana Yoyote Anaetoka Mkoani Kufika Dar es Salam
Nikaanza Kupambana Kutafuta Namna Ya Kujiongezea Kipato Kupitia Biashara Ndogo Mtandaoni Nikiwa Chuo,
Nilikuwa na ndoto kubwa, lakini:
�� Nilikuwa napoteza hela kwenye matangazo yasiyo na matokeo
�� Nilitumia muda mwingi ku-post, lakini hakuna aliyeona bidhaa zangu
�� Nilikuwa na hofu ya kuwekeza zaidi kwa sababu nilihisi sifahamu ninachofanya
Nilipochunguza kwa kina nikagundua tatizo halikuwa bidhaa zangu
Tatizo lilikuwa sina mfumo sahihi wa Digital Marketing.
Nilianza kutafuta msaada, nikajaribu kozi nyingi, nikasoma makala na kuangalia video za bure,
Lakini bado Nilikuwa Napata Matokeo ya Kubahatisha.
Hadi nilipokutana na mkufunzi mmoja mwenye uzoefu mkubwa katika Digital Marketing ambaye alinifundisha kanuni nne kuu:
1. Kuelewa Bashara Yako, Bidhaa/Huduma na Kumjua Mteja Wako Vizuri (Customer Avatar)
2. Kutengeneza Content Inayouza
3. Kuweka Matangazo Yanayofikia watu Sahihi kwa Gharama Ndogo
4. Kupima na kuongeza matokeo kila wiki
Baada ya kutumia mfumo huu, ndani ya siku 30 niliweza kupata wateja wa kulipia bila kubahatisha, na biashara yangu ikaanza kukua haraka.
Ø Na ndani ya mwezi niliweza kutengeneza zaidi ya 300,000 Tsh Ukiofata 500,000Tsh n.k
Siri Sio Bahati — Ni Mfumo
Nilichogundua ni kwamba watu wengi wanatumia mitandao ya kijamii vibaya kibiashara.
Wana post bila mpangilio, wanangoja wateja wawatafute, na hawajui namna ya kuuza kisasa bila kubughudhi watu.
Mfumo ninaotumia unahusisha hatua 3 rahisi:
1. Kuchagua Fursa Sahihi — Kujua bidhaa/huduma unayoweza kuuza haraka
2. Kuvutia Wateja — Kutengeneza content inayowavuta na kuamini unachofanya
3. Kuuza Bila Kushinikiza — Kutumia mbinu zinazofanya wateja wakulipe kwa hiari
Unaweza Usiamini Lakini Hivi Ndio Jinsi Ambavyo Niliamza Kupokea Miamala Siku Chache baada Ya Kukubali Kujifunza Na Kuanza Kufanyia Kazi







NIMESIKIA: Umaniuliza Swali KIMOYO MOYO
Jackson, Nawezeje Sasa Na Mimi Kujifunza na Kuanza Kutengeneza Kipato Kama Hicho Kupitia Mitamdao Ya Kijamii.
Okay, USIJALI Kwani Huo Ndio Msingi Mkuu wa Kimaisha, Ni kweli Lazima UJIFUNZE Uwe na Maarifa Ndio PESA Zifuate
Ukirejea Kwenye Maandiko Ya Dini, Yanasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa..." Hosea 4:6
Pia Katika Kitabu Pendwa Hapa Duniani " Richest Man In The Babylon Kinasema. "Kadili Unavyoongeza Maarifa Ndio Jinsi Unavyoongeza Kipato Chako"
Bila Shaka Hii Ni Sehem Sahihi Kwako,...
Ili Kufanikisha Hilo, Niliandaa COURSE Maalumu ya DIGITAL MARKETING MASTERCLASS (Ngassadigital V1)...
Hii Sio Kozi ya Theory,❌
Ni Kozi ya Vitendo Inayokuonesha Hatua Kwa Hatua Katika Kuongeza Kipato Kupitia Mitandao Ya Kijamii
Ndani Ya COURSE Hii Utajifunza MODULE KUU 5
MODULE ONE: Hutua Kuu 8 Ili Kufanikiwa Unapofanya Biashara Mtandaoni
Sub-module.
Ø Elewa Biashara Yako Ni Ipi Mtandaoni.
Ø Jinsi ya Kuchagua Biashara Zinazolipa Sanatamdaoni
Ø Jinsi Ya Kutengeneza Utambulisho wako Mtandaoni_
Ø Tengeneza Bland Yako Mtandaoni_
Ø Jinsi Ya Kufanya Walengwa/Wateja Wako Wakuamini_
Ø Njia Pekee Ya Kuwafikia Walengwa/Wateja wako Haraka Mtandaoni
Na Nyingine Kibao
MODULE TWO: Social Media Branding.
Sub Modules
Ø Jinsi Ya Kufungua Na Kufanya Settings katika Page Za Kibiashara INSTAGRAM na FACEBOOK
Ø Jinsi ya Kuunganisha INSTAGRAM Na WHATSAPP
Ø Jinsi ya Kuunganisha INSTAGRAM Na FACEBOOK Page
Ø Jinsi ya Kufungua na kuunganisha Njia za Malipo META APP
MODULE THREE: Copywriting Basic
{Maandishi Yanavutia Pesa Mtandaoni}
Sub Module
Ø Fahamu Jinsi Ya Kuandika Vichwa Vya Habari. {Uta Copy na Kupeste Uzitumie kwenye Tangazo Utakaloandika Mtandaoni}
Ø Hatua Kuu 8 za Kuandika Tangazo Lenye Lengo La Kuuza Moja kwa Moja Bidhaa/Huduma Yako
Ø Formula za Kuandika Matangazo Yanayovutia Zaidi.
Utakuwa Mtaalamu wa Kuandika Captions na Matangazo Yenye Mvuto.
MODULE FOUR: Introduction To Graphic Designer.
Sub Modules
Ø Jinsi Ya Kutengeneza Poster/Picha ya Tangazo Lako
Ø Jinsi Ya Kutengeneza Logo yako ya Kibiashara
MODULE FIVE: Meta Sponsored Ads
{Jinsi ya Ku-set Matangazo Ya Kulipia}
Sub Modules
Ø Jinsi ya Kurusha Matangazo Ya Kulipia FACEBOOK na INSTAGRAM
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo Watu/Wateja waje Moja Kwa Moja WhatsApp INBOX ��
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo Watu/Wateja waje Moja Kwa Moja WhatsApp GROUP
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo Upate Watu/Wateja Makini (Potential Customer) Wanaonunua Moja Kwa Moja Huduma/Bidhaa Yako
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo La Landing Page, Uuze Huduma au Bidhaa Moja kwa moja Mtandao Bila kuongea na Mteja
Meta Sponsored Ads, Utajifunza Kwa Kutumia Meta App na Meta Website. No Ku-BOOST, Sio Njia Sahihi ya Kufanya Matangazo.❌❌❌
Faida Utakazopata Mara Moja
Ø kuchagua Biashara Bidhaa/ Huduma inayoingiza pesa zaidi mtandaoni
Ø Kuongeza wateja wako mtandaoni ndani ya wiki chache
Ø Kujua siri ya matangazo yenye gharama ndogo lakini matokeo makubwa
Ø Kutengeneza content inayovutia na kuuza
Ø Kuwa na uhakika wa kipato cha mtandaoni
Ø Uwezo wa kufundisha wengine na kutengeneza kipato cha pili
NDIO, SUBILI USILIPIE KWANZA USILIPIE
Nina Taarifa Njema Nataka Kukupatia Najua Hukuzitarajia Kabisaa
Kila Mwezi huwa Nimejiwekea Lengo La Kuwashika Mkono Na Kuwasapot Vijana 10 Tu. Wanaohitaji Kuongeza Kipato Kwa Kutumia Mitamdao ya kijamii
Ili kukizi Mahitaji Yao, na Kuwasaidia Kutatua Changamoto zao za Kifedha
Ili Kufanikisha Hilo, Kwa Mwezi Natoa OFA ya Punguzo Kubwa La Kujiunga Na Hii Course Yetu ya DIGITAL MARKETING MASTERCLASS, Kwa Vinaja 10
Ili kuweza Kuwasimamia Kwa Urahisi kila mmoja Apate Matokeo Makubwa Ndani Ya Mda Mfupi Akiwa Anajifunza
KWAHIYO: Jitahidi Uwe We Kati ya Vijana 10 Watakaojiunga Na Hii COURSE
Balala Ya Kulipia Laki Moja 100,000Tsh
COURSE Hii utaipata Kwa Kiasi Cha 20,000Tsh Tu
Kama Punguzo Kubwa La Asilimia 80%
Kwahiyo Utakuwa Umeokoa Zaidi Ya Elf Themanini 80,000Tsh Ambayo Utaitumia Kwa Mahitaji Yako Mengine.
Kujiunga Na Hii Kozi Kwa Sh 20,000Ts Tu.
Na Kama Utalipia OFA YEYOTE Kati Ya Hizo Tatu Basi Utapata BONUS hizi Hapa Chini Zenye Thamani Zaidii Ya 155,000Tsh
BONUS 01, Unaingia Rasimi Kwenye Usimamizi Wangu wa Karibu Ukiwa Unatumia Program Hadi PALE utakapopata Matokeo Unayoyahitaji, Usimamizi Wangu huwa Unalipiwa 70,000Tsh Lakini Wewe Utaipata BURE.
BONUS 02, Nitakuingiza BURE Kwenye Channel Ya Telegram na Group la WHATSAPP Kwa Ajili Ya Usimamizi WA Karibu Na Usaidizi wa Mda Wote Huwa Unalipiwa 50,000
BONUS 03.
Utapata eBook 2 BURE ya Za jinsi Ya Kufanikiwa a Mtamdaoni Huwa Unalipiwa 35,000Tsh.
Ndio Nataka Kujiunga Na COURSE
Unalindwa na hii GUARANTEE Hapa Chini
Haijawahi Kutokea, Ila Kama Ikitokea Hujapata MATOKEO Kwa Mda Nitakaokupangia..
Nipigie Simu Au Nitumie Ujumbe WhatsApp 0747196427 Nitakurudishia Fedha Yako Kama Ulivyoituma Bila Kukuuliza Swali Lolote Lile kwahiyo Hauna RISK ya Kupoteza PESA yako
Na Kwa Heshima na Kuheshimu Mda Wako, Nitakulipa Asilimia kumi 10% ya Pesa Ambayoo Utakayoiwekeza kwenye Programu hii kama Sehemu Ya Fidia ya Mda Wako.
BASI MAAMUZI NI YAKO
Aidha Uendelee Kupotezata Mtandaoni na Kuona Wengine wakitengeneza PESA MITANDAO
Au
Uwekeze Kiasi Hiki cha Pesa, Upate Maarifa Yatakayokuwezesha Kuteka Soko la Mtandaoni na Kuamza Kutengeneza Pesa Kupitia Mitandao ya Kijamii.
Kabla Hujalala DAMU, Fanya MAAMUZI sasa ya Kujiunga Na KOZI hii sasa Kwa Kulipia hapa Chini
UTARATIBU;
MOTTO
We Stand Out And Being Excellent In Our Field
WHY
To Support And Inspired Youth To Do Things That Inspired Them so That Together Each Of Us Can Change Life For The Better
VISION
To Maximize Youth Potential And Supporting To Build Profitable Online Business
MISSION
To Build A Skilled Retailer, Recruiters Experts And Maximizing Social Networks Platform For Business
VALUES
Purpose, Despline, Confident, Consistent, Work hard, Focus Trust The Process, And Adapt An Infinity Mindset.
No Matter How Smart Are you, If You Don't Know To Work With People You Dream Will Just Be Dreams jackMAs
