Jifunze Mbinu za Kitaalamu za Kuongeza Kipato Kupitia Mitandao ya Kijamii
Hatua kwa Hatua.
Najua Hadi Sasa Utakuwa UNAJIULIZA
Je Kupitia Mitandao Ya Kijamii naweza Nikawa Napata Pesa Kweli na Nikabadikisha Maisha Yangu?
Basi Usinisikilize Mimi, Wasikilize Vijana Wenzangu Ninaofanya Nao Kazi











NIMESIKIA: Umeniuliza Swali KIMOYO MOYO
Jackson, Nawezeje Sasa Na Mimi Kujifunza na Kuanza Kutengeneza Kipato Kama Hicho Kupitia Mitandao Ya Kijamii.
Okay, USIJALI Kwani Huo Ndio Msingi Mkuu wa Kimaisha, Ni kweli Lazima UJIFUNZE Uwe na Maarifa Ndio PESA Zifuate
Ukirejea Kwenye Maandiko Ya Dini, Yanasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa..." Hosea 4:6
Pia Katika Kitabu Pendwa Hapa Duniani " Richest Man In The Babylon Kinasema. "Kadili Unavyoongeza Maarifa Ndio Jinsi Unavyoongeza Kipato Chako"
Bila Shaka Hii Ni Sehem Sahihi Kwako,...
Ili Kufanikisha Hilo, Niliandaa COURSE Maalumu ya DIGITAL MARKETING MASTERCLASS (Ngassadigital V1)...
Hii Sio Kozi ya Theory,❌
Ni Kozi ya Vitendo Inayokuonesha Hatua Kwa Hatua Katika Kuongeza Kipato Kupitia Mitandao Ya Kijamii
Ndani Ya COURSE Hii Utajifunza MODULE KUU 5
MODULE ONE: Hutua Kuu 8 Ili Kufanikiwa Unapofanya Biashara Mtandaoni 50,000Tsh
Sub-module.
Ø Elewa Biashara Yako Ni Ipi Mtandaoni.
Ø Jinsi ya Kuchagua Biashara Zinazolipa Sana mtandaoni
Ø Jinsi Ya Kutengeneza Utambulisho wako Mtandaoni_
Ø Tengeneza Bland Yako Mtandaoni_
Ø Jinsi Ya Kufanya Walengwa/Wateja Wako Wakuamini_
Ø Njia Pekee Ya Kuwafikia Walengwa/Wateja wako Haraka Mtandaoni
Na Nyingine Kibao
MODULE TWO: Social Media Branding 25,000Tsh.
Sub Modules
Ø Jinsi Ya Kufungua Na Kufanya Settings katika Page Za Kibiashara INSTAGRAM na FACEBOOK
Ø Jinsi ya Kuunganisha INSTAGRAM Na WHATSAPP
Ø Jinsi ya Kuunganisha INSTAGRAM Na FACEBOOK Page
Ø Jinsi ya Kufungua na kuunganisha Njia za Malipo META APP
MODULE THREE: Copywriting Basic 25,000Tsh
{Maandishi Yanavutia Pesa Mtandaoni}
Sub Module
Ø Fahamu Jinsi Ya Kuandika Vichwa Vya Habari. {Uta Copy na Kupeste Uzitumie kwenye Tangazo Utakaloandika Mtandaoni}
Ø Hatua Kuu 8 za Kuandika Tangazo Lenye Lengo La Kuuza Moja kwa Moja Bidhaa/Huduma Yako
Ø Formula za Kuandika Matangazo Yanayovutia Zaidi.
Utakuwa Mtaalamu wa Kuandika Captions na Matangazo Yenye Mvuto.
MODULE FOUR: Introduction To Graphic Designer 25,000Tsh
Sub Modules
Ø Jinsi Ya Kutengeneza Poster/Picha ya Tangazo Lako
Ø Jinsi Ya Kutengeneza Logo yako ya Kibiashara
MODULE FIVE: Meta Sponsored Ads 50,000Tsh
{Jinsi ya Ku-set Matangazo Ya Kulipia}
Sub Modules
Ø Jinsi ya Kurusha Matangazo Ya Kulipia FACEBOOK na INSTAGRAM
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo Watu/Wateja waje Moja Kwa Moja WhatsApp INBOX ��
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo Watu/Wateja waje Moja Kwa Moja WhatsApp GROUP
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo Upate Watu/Wateja Makini (Potential Customer) Wanaonunua Moja Kwa Moja Huduma/Bidhaa Yako
Ø Jinsi ya Kurusha Tangazo La Landing Page, Uuze Huduma au Bidhaa Moja kwa moja Mtandao Bila kuongea na Mteja
Meta Sponsored Ads, Utajifunza Kwa Kutumia Meta App na Meta Website. No Ku-BOOST, Sio Njia Sahihi ya Kufanya Matangazo.❌❌❌
Faida Utakazopata Mara Moja
Ø kuchagua Biashara Bidhaa/ Huduma inayoingiza pesa zaidi mtandaoni
Ø Kuongeza wateja wako mtandaoni ndani ya wiki chache
Ø Kujua siri ya matangazo yenye gharama ndogo lakini matokeo makubwa
Ø Kutengeneza content inayovutia na kuuza
Ø Kuwa na uhakika wa kipato cha mtandaoni
Ø Uwezo wa kufundisha wengine na kutengeneza kipato cha pili
NDIO, SUBILI USILIPIE KWANZA USILIPIE
Nina Taarifa Njema Nataka Kukupatia Najua Hukuzitarajia Kabisaa
Kila Mwezi huwa Nimejiwekea Lengo La Kuwashika Mkono Na Kuwasapot Vijana 10 Tu. Wanaohitaji Kuongeza Kipato Kwa Kutumia Mitamdao ya kijamii
Ili kukizi Mahitaji Yao, na Kuwasaidia Kutatua Changamoto zao za Kifedha
Ili Kufanikisha Hilo, Kwa Mwezi Natoa OFA ya Punguzo Kubwa La Kujiunga Na Hii Course Yetu ya DIGITAL MARKETING MASTERCLASS, Kwa Vinaja 10
Ili kuweza Kuwasimamia Kwa Urahisi kila mmoja Apate Matokeo Makubwa Ndani Ya Mda Mfupi Akiwa Anajifunza
KWAHIYO: Jitahidi Uwe We Kati ya Vijana 10 Watakaojiunga Na Hii COURSE
Na Kama Utalipia OFA YEYOTE Basi Utapata BONUS hizi Hapa Chini Zenye Thamani Zaidii Ya 155,000Tsh
BONUS 01, Unaingia Rasimi Kwenye Usimamizi Wangu wa Karibu Ukiwa Unatumia Program Hadi PALE utakapopata Matokeo Unayoyahitaji, Usimamizi Wangu huwa Unalipiwa 70,000Tsh Lakini Wewe Utaipata BURE.
BONUS 02, Nitakuingiza BURE Kwenye Channel Ya Telegram na Group la WHATSAPP Kwa Ajili Ya Usimamizi WA Karibu Na Usaidizi wa Mda Wote Huwa Unalipiwa 50,000
BONUS 03. Utapata eBook 2 BURE ya Za jinsi Ya Kufanikiwa a Mtamdaoni Huwa Unalipiwa 35,000Tsh.
Ndio Nataka Kujiunga Na COURSE
Unalindwa na hii GUARANTEE Hapa Chini
Haijawahi Kutokea, Ila Kama Ikitokea Hujapata MATOKEO Kwa Mda Nitakaokupangia..
Nipigie Simu Au Nitumie Ujumbe WhatsApp 0747196427 Nitakurudishia Fedha Yako Kama Ulivyoituma Bila Kukuuliza Swali Lolote Lile kwahiyo Hauna RISK ya Kupoteza PESA yako
Na Kwa Heshima na Kuheshimu Mda Wako, Nitakulipa Asilimia kumi 10% ya Pesa Ambayoo Utakayoiwekeza kwenye Programu hii kama Sehemu Ya Fidia ya Mda Wako.
Kumbuka: Fursa hii haitaji uwe na followers wengi, haitaji uwe na ofisi kubwa, na wala sio lazima uwe na website.
Unachohitaji ni Simu Yenye Intaneti na Uelekeo sahihi.
Hivyo Mtu yeyote Mwenye Mtaji Mdogo, Asiye na Uzoefu wala Ujuzi wa Kutengeneza pesa Mtandaoni kwa Kuuza Taarifa, Ujuzi, Bidhaa na Utaalamu Anaweza Kufanya.
Hata kama Huna Bidhaa, Ujuzi au Utaalam kwa Kuwafanya Watu wakulipe pesa Utajifunza Na Kupewa Mafundisho.
Utaweza Kutengeneza Pesa Bila Kuathiri Unachofanya kwa kutumia Tu Mitandao ya Kijamii
Hata kama Wewe ni Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Mwanachuo, Muhitumu
Au Mtu Yeyote Yule Unaetafuata Ajira Ama Kuongeza Kipato cha Ziada Haijalishi Umesoma Au Haujasoma
Itashangazwa na Namna Ilivyokuwa Rahisi Kutumia Mitandao ya kijami Kutengeneza Pesa.
BASI MAAMUZI NI YAKO
Aidha Uendelee Kupotezata Mtandaoni na Kuona Wengine wakitengeneza PESA MITANDAO
Au
Uwekeze Kiasi Hiki cha Pesa, Upate Maarifa Yatakayokuwezesha Kuteka Soko la Mtandaoni na Kuanza Kutengeneza Pesa Kupitia Mitandao ya Kijamii.
Kabla Hujalala DAMU, Fanya MAAMUZI sasa ya Kujiunga Na KOZI hii sasa Kwa Kulipia hapa Chini
UTARATIBU;
MISSION
To Build A Skilled Retailer, Recruiters Experts And Maximizing Social Networks Platform For Business
No Matter How Smart Are you, If You Don't Know To Work With People You Dream Will Just Be Dreams jackMAs

,